Sunday, January 6, 2013

uwazi ijumaa risasi | Mitaa Yetu - Picha za wanawake wa kibongo


uwazi ijumaa risasi  | Mitaa Yetu - Picha za wanawake wa kibongo

uwazi gazeti la udaku - Mitaa Yetu- Global Publishers
uwazi gazeti la udaku - Mitaa Yetu- Global Publishers

gazeti la uwazi tanzania | Mitaa Yetu na Maoni Yetu
gazeti la uwazi tanzania | Mitaa Yetu na Maoni Yetu
kweli kuna vituko Wanawake hawa ni balaa tupu
 

gazeti la uwazi wiki hii- picha za uchi za wanawake wa kibongo | Mitaa yet

gazeti la uwazi wiki hii- picha za uchi za wanawake wa kibongo | Mitaa yet
Ukipata mwanamke kama huyu utafanya nini? Ole wako ujaribu!!

gazeti la uwazi La leo | Mwanamke Nusu uchi | Mitaa Yetu


 Gazeti la uwazi La leo | Mitaa Yetu


Wanawake wanopenda kukapiga picha uchi

Saturday, September 29, 2012

Yanga hawatuwezi: Simba

mesikia Yanga wakichekelea kukosekana kwa straika Emmanuel Okwi akacheka halafu akatoa kauli hii: "Warudishe bao tano, ah wapi!"

Okwi alichangia asilimia kubwa katika kipigo Simba ilichoipa Yanga cha mabao 5-0 msimu uliopita na atakosa kipute hicho kwa kuwa amefungiwa mechi tatu kwa kupewa kadi nyekundu kwa kosa la kumpiga kiwiko beki wa JKT Ruvu, Kessy Mapande na adhabu hiyo imekwenda pamoja na faini ya Sh 500,000.

Wakati Okwi akisisitiza ameonewa, Yanga wanachekelea kwa kuwa itapunguza kasi ya mchezo na kuwapa mabeki wao ahueni ingawa washambuliaji wa Simba, Felix Sunzu na Daniel Akuffo wamekaa chonjo kwa mashambulizi.

Kapombe atasimama kwenye safu ya ulinzi ya Simba, Jumatano pamoja na Juma Nyosso huku kushoto akicheza Amir Maftah na kulia Nassoro Masoud.

"Kukosekana kwa Okwi ni pengo kwetu kwani msimu uliopita alikuwa chachu ya ushindi wa mabao matano bila dhidi ya Yanga lakini watani wetu wasitarajie mteremko kwa jambo hilo kwani tuko vizuri sana," alisema beki huyo anayeaminika zaidi na mashabiki wa Simba.

�Tutawafunga bila Okwi na hatutakubali warudishe kipigo tulichowapa msimu uliopita, Yanga ni wazuri lakini hata sisi ni wakali pia hawawezi kutusumbua tuko vizuri,� aliongeza Kapombe ambaye aliibuka mchezaji bora wa mwaka wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo (Taswa).

Simba na Yanga zitaumana Jumatano ijayo katika pambano la Ligi Kuu Bara litakaloonyeshwa na SuperSport ya Afrika Kusini.

Pambano hilo limeibua hisia za wengi huku Simba ikipiga kambi Zanzibar na Yanga ikijichimbia Changanyikeni karibu na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Yanga inaingia uwanjani chini ya kocha wake wa muda, Fred Felix Minziro aliyepewa mikoba ya Mbelgiji Tom Saintfiet aliyetimuliwa huku Simba ikinolewa Milovan Cirkovic.